Unateseka na bawasiri ya ndani au ya nje? Unapitia maumivu, kuvimba, kuwashwa au kutokwa damu unapojisaidia?
PYLEX PEAK ni dawa ya asili iliyotengenezwa mahsusi kutibu bawasiri kwa usafi wa ndani, ufanisi wa kweli na matokeo ya kudumu bila haja ya upasuaji!.
Faida Kubwa za PYLEX PEAK
✅ Hupunguza maumivu na uvimbe wa bawasiri haraka
✅ Huzuia kutokwa damu unapojisaidia
✅ Hutibu bawasiri ya ndani na ya nje bila madhara
✅ Huponya vidonda ndani ya njia ya haja kubwa
✅ Husaidia kusafisha utumbo na kuondoa sababu za kurudia bawasiri.
Imeundwa kwa Mimea Tiba Yenye Nguvu Kuu:
-
Mwarobaini – huondoa uvimbe na sumu mwilini
-
Aloe Vera & Mchicha Mwitu – husaidia kupoza na kuponya tishu zilizoathirika
-
Tangawizi & mdalasini – huongeza mzunguko wa damu na kuondoa maumivu
-
Mlonge & Muarobaini – hurekebisha mmeng’enyo na mfumo wa choo.
Matumizi:
Tumia kwa kunywa na/au kupaka sehemu husika kulingana na maelekezo ya kitaalamu. Ndani ya siku chache utaona nafuu kubwa, na matokeo bora huonekana kuanzia siku ya 5 hadi 14.




Reviews
There are no reviews yet.